This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Monday, 30 January 2017

AHUKUMIWA KIFUNGO KWA KULALA NA MPENZI WA MWANAE…

Mwanamke mmoja ambaye ametambulika kwa jina la Alaine Goodman (46) amehukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kufanya mapenzi na kijana mwenye umri mdogo ambaye ni mpenzi wa mtoto wake.

LAMECK DITTO-MOYO SUKUMA DAMU (OFFICIAL VIDEO



SUDAN YAPINGA AMRI YA TRUMP..!

Wizara ya mashauri ya nchi za kigeni nchini Sudan imemuita mwanabalozi wa Marekani mjini Khartoum kupinga hatua ya Rais Donald Trump ya kuwapiga marufuku raia wa nchi hiyo kuingia Marekani.

MWENYEKITI WA CCM MBEYA ANUSURIKA KUUAWA..

Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini, Efrahim Mwaitenda mwenye umri wa miaka 60 amejeruhiwa kwa kupigwa risasi mgongoni na mtu au watu wasiofahamika.

HAKIMU MMOJA ASIKILIZA MASHAURI 400 KWA MWEZI....

Imeelezwa kuwa uhaba wa mahakimu katika Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi imefanya kila hakimu katika mahakama hiyo kuwa na mzigo wa mashauri 400 kwa mwezi mmoja.

MAHARUSI WAFUNGA NDOA KWA KUTUMIA DOLA MOJA KENYA

Ushawahi kuona sherehe ya harusi isiyo na burudani wala mapochopocho na gharama husika haizidi dola moja?

BILLNASS FT MWANAFA - MAZOEA (OFFCIAL MUSIC VIDEO)



Billnass ameachia ngoma yake mpya MAZOEA aliyomshirikisha MwanaFA na ametupa Ruhusa ya kuitazama Video ya MAZOEA
ITAZAME  HAPA

MANGWEA AWATOKEA CPWAA NA NOORAH..


Ikiwa sasa ni miaka minne na miezi kadhaa imepita tangu Rapa Albert Mangwea kufariki dunia, wasanii Noorah pamoja na Cpwaa kwa pamoja wamejikuta wakifanya mpango wa kuingia studio na kurudi na nguvu mpya wakidai kuwa ni maagizo aliyowapa ndotoni.

ANASWA NA MAHINDI YA BEI CHEE KUTOKA NJE YA NCHI

Mfanyabiashara aliyejulikana kwa jina moja la JAPHET amekamatwa na kikosi maalum  kinachohusisha TRA , POLISI na MAAFISA WA KILIMO akiwa anavusha mahidi kwa njia ya panya kutoka nchini Malawi bila ya kufuata utaratibu wa sheria.

UFILIPINO YAITAKA MAREKANI IACHE KUINGIZA SILAHA ZAKE NCHINI HUMO

Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amesema Marekani inahatarisha usalama wa eneo kwa kuendelea kurundika silaha zake katika nchi hiyo.

MELI KUBWA YA KISASA YA AZAM YATIA NANGA BANDARI YA TANGA KWA MARA YA KWANZA

Meli mpya na ya kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717 sambamba na magari 150 imetia nanga Bandari ya Tanga leo.

KUTANA NA MFUNGWA ALIYEFAULU SHULE GEREZANI NA SASA ATAKWENDA CHUO KIKUU LONDON..

Inatokea kwenye gereza la Naivasha Kenya ambapo Mfungwa Michael Kahiga ni miongoni mwa Wafungwa wachache watakaojiunga na chuo kikuu kutokana na jitihada zake za kujisomea kwa bidii chini ya Mwalimu wake pia ambaye pia ni Mfungwa wa kifungo cha maisha.

DAKTARI AANDIKA BARUA YA KUACHA KAZI BAADA YA MKUU WA MKOA KUMUWEKA RUMANDE … KWA KOSA LA KIPINDUPINDU…

Mganga  Mkuu wa Wilaya ya Singida Vijijini, Dk. Erick Bakuza ameandika barua ya kuacha kazi

WAZIRI MKUU ATUA DODOMA KWA NDEGE YA ABIRIA..

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Dodoma leo asubuhi kwa ajili kuhudhuria vikao vya bunge  ambavyo vinatarajiwa kuanza kesho Jumanne

MHUBIRI ALIYEKUWA NA WAKE 86 AFARIKI NIGERIA..

Mhubiri mmoja wa zamani wa Kiislamu nchini Nigeria ambaye alikuwa na takriban wanawake 86 ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 93.

DAR, LINDI NA MTWARA VINARA WA UKOMA TANZANIA..

Tanzania imeadhimisha Siku ya Ukoma Duniani tar 28 1 2017 ambapo mikoa ya Lindi, Morogoro, Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imetajwa kuwa miongoni mwa mikoa 11 yenye idadi kubwa ya wagonjwa wa ukoma.

ASKARI WA MAREKANI AUWAWA YEMEN

Jeshi la Marekani limesema askari wake mmoja ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulizi lake lililokuwa limeelekezwa kwa kikundi cha al-Qaida huko Yemen.

MATIBABU YA KIFAFA CHA MIMBA…..

Kifafa cha mimba ni ugonjwa unaowapata wanawake wajawazito, hasa wenye mimba za kwanza.
Kwa walio wengi, ugonjwa huu hutokana na kupanda kwa msukumo wa damu (High blood pressure). Ugonjwa huu utokeapo, mgonjwa hupatwa na degedege (convulsions).

JPM AWATAKA VIONGOZI KUWAENZI WATANGULIZI WAO…

Jengo la Amani na Usalama lililopo Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa nchini Ethiopia, limetangazwa rasmi kuwa litaitwa Mwalimu Julius Nyerere.

MAELFU WAANDAMANA MAREKANI KUPINGA AMRI YA RAIS TRUMP….

Maelfu ya waandamanaji walikusanyika Jumapili karibu na White House huko Washington DC kwa siku ya pili ya malalamiko katika miji mikubwa kote Marekani dhidi ya marufuku ya safari iliyotolewa na Rais Donald Trump kutoka nchi saba za kiislam.

Thursday, 26 January 2017

MEXICO: HATUTALIPIA UKUTA WA DONALD TRUMP..!!

Nchi ya Mexico imesema kuwa haitalipia gharama ukuta uliopendekezwa kujengwa, na rais wa Marekani Donald Trump.

Wednesday, 25 January 2017

UMEME WAKATIKA GHAFLA TANZANIA…

Maeneo yote yaliyounganishwa kwenye mfumo wa taifa wa kusambaza umeme Tanzania, asubuhi yameathiriwa na kukatika kwa ghafla kwa umeme.

FARU MPYA AWEKA REKODI NGORONGORO..!!

Mnyamapori aina ya faru anayesadikiwa kuwa na umri mkubwa kuliko faru wote duniani, anaishi katika hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha.

Tuesday, 24 January 2017

LISSU: WAPINZANI TUSINYOOSHEANE VIDOLE

Mwanasheria Mkuu wa Chadema  Tundu Lissu, amesema kuwa matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge na kata 20 si kielelezo cha Ukawa kushindwa katika Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2020.

MLANGO WA BOMBARDIER WAZUA TAHARUKI ANGANI…!

Abiria waliokuwa wakisafiri kwa ndege aina ya Bombardier Q400 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kutoka Mwanza kuelekea Dar es salaam, walipata hofu baada ya ndege yao kuruka na muda mfupi baadae kulazimika kutua tena katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza

CHAGUO LA MAKAMU WA URAIS LAZUA UTATA GAMBIA...!

Rais mpya wa Gambia Adama Barrow amemteua mwanamke mwenye ushawishi mkubwa, ambaye aliwahi kuwa mshirika wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Yahya Jammeh kabla ya kujiunga na upinzani ulioshinda uchaguzi kuwa makamu wake wa urais.

BIBI YAKE OBAMA AENDELEA KUPEWA ULINZI..!

Bibi yake na Rais wa Mstaafu wa Marekani, Barack Obama, Bi, Saraha Obama ataendelea kupewa ulinzi licha ya mjukuu wake kumaliza muhula wa uongozi wake wiki iliyopita.

Saturday, 21 January 2017

KUSOMA KWA NJIA YA MTANDAO KWAZIDI KUSHIKA KASI...


DUNIA inakimbia kwa kasi ya ajabu mno! Hii inadhihirishwa na mabadiliko mbaliambali ya mifumo ya maisha ya kila siku.

NYAMA KUANZA KUTENGENEZWA MAABARA..

DUNIA inabadilika kwa haraka kutokana na maendeleo katika sekta mbalimbali. Teknalojia nayo inakua kwa kasi huku ikitoa mchango mkubwa katika maendeleo ya binadamu.

MPAKISTAN ANAYEDAI KUWA NA NGUVU ZAIDI DUNIANI

TANGU vikatuni vya Hulk, jitu la kutisha na lenye nguvu ijapokuwa la kufikirika vilipoanzishwa mapema katika miaka ya 1960, mashabiki wamekuwa wakishangazwa na ushupavu au nguvu zaidi kuliko ghadhabu zake.

Dewji apata tuzo ya uongozi...

Mtanzania mfanyabiashara maarufu na Rais wa Kampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji (MO) ,ameibuka mshindi wa tuzo ya Mtu aliyefanya vizuri katika Uongozi kwa Mwaka 2016 inayotolewa na Jarida la African Leadership.

Watu 3 huhitaji viungo bandia kila siku MOI.

TAASISI ya Tiba na Mifupa Muhimbili (MOI), imesema katika idadi yote ya majeruhi wanaowapokea, kila watu 50 wanaofika kunakuwepo na moja ambaye anakuwa ameumia zaidi mguu ama mkono ambao mwishowe inabidi uondolewe.

Jammeh asema ataondoka madarakani....

.....
Kiongozi wa muda mrefu nchini Gambia Yahya Jammeh, anasema kuwa ataondoka madarakani baada ya kukataa kukubali kushindwa.

Thursday, 19 January 2017

OBAMA AMALIZA MUDA WAKE IKULU YA WHITE HOUSE..

Rais Barack Obama wa Marekani amekuwa na mkutano wake wa mwisho na waandishi habari Ikulu mjini washington, tukio la mwisho la shughuli zake rasmi , kabla ya kumkabidhi madaraka Rais mteule Donald Trump.