Monday, 30 January 2017

WAZIRI MKUU ATUA DODOMA KWA NDEGE YA ABIRIA..

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Dodoma leo asubuhi kwa ajili kuhudhuria vikao vya bunge  ambavyo vinatarajiwa kuanza kesho Jumanne


Waziri Mkuu ameongozana na mkewe Mary Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali ambao wametumia usafri wa ndege ya abiria ya ATCL inayopitia Dodoma kuelekea Kigoma

Katika Uwanja wa Ndege Waziri Mkuu amepokelewa na mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana pamoja na viongozi wa serikali na chama wa mkoa wa Dodoma


Vikao vya Bunge vinaanza kesho baada ya wiki mbili za shughuli za kamati za kudumu za Bunge, na sasa tayari wabunge wamekwishawasili Dodoma kwa ajili ya vikao hivyo vitakavyodumu kwa takriban wiki 2

Related Posts:

  • MAMBO MAZITO USIYOYAJUA JUU YA MATETEMEKO YA ARDHI…… Hadi sasa haijagunduliwa teknolojia ya kuaminika, inayoweza kutabiri kutokea kwa matetemeko ya ardhi popote Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla. Akizungumza mwishoni mwa wiki ofisini kwake mjini Dodoma, Mjiolojia Mwand… Read More
  • MWALIMU AJICHINJA KOROMEO HADI KUFA… Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Mtenga wilayani Nkasi, Leonard Mwipugi (29) amejiua kwa kujichinja koromeo akiwa nyumbani kwake. Taarifa zilizotolewa na Mratibu wa Elimu Kata ya Mtenga, Hebron Mwafungo zimeeleza kuwa m… Read More
  • WASHIKILIWA NA POLISI KWA KUFANYA MAPENZI NA WANAFUNZI….. Waalimu wawili waliokuwa wakifanya mazoezi kwa vitendo katika shule ya sekondari ya Kikala wilayani Lushoto mkoani Tanga, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kufanya mapenzi na wanafunzi wawili wa kidato cha tatu… Read More
  • ADAKWA NA POLISI KWA KUBAKA WATOTO 14… Jeshi la Polisi mkoani Singida linamshikilia mganga wa kienyeji mkazi wa mtaa wa Minga Daud Idd (74), kwa tuhuma ya kunajisi watoto 14 wenye umri kati ya miaka saba na 12 na kuwasababishia maumivu makali katika sehemu … Read More
  • GAMBO ATOA AGIZO KWA MKURUGENZI…… Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli kuhakikisha anasimamia ujenzi wa Ofisi za Kata na unakamilika kabla ya mwezi wa kumi na mbili mwaka huu. Agizo hilo amelitoa kwenye ziar… Read More

0 comments:

Post a Comment