This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Friday, 29 January 2016

STORY YA KUOWA WAKE 2 ERITREA NI UZUSHI..!!

Habari ya mzaha kwamba wanaume wa taifa la Eritrea wameagizwa kuoa wake wawili, ambayo imesambaa barani Afrika imewaudhi maafisa wa taifa hil...

MJI WAFURAHIA MTOTO BAADA YA MIAKA 28..!

Mji mmoja kaskazini mwa Italia, unasherehekea kuzaliwa kwa mtoto wa kwanza tangu mapema miaka ya 198...

UTAFITI: KUNGUNI HAWASIKII DAWA..!

Licha ya kuhusishwa na uchafu na mazingira duni, kunguni ameibuka kuwa mdudu mwenye uwezo mkubwa wa kustahimili hatari dhidi ya maisha yak...

Thursday, 28 January 2016

KENYA YASHIKA NAFASI YA 139 KWA UFISADI...

Shirika la Transparency International, juzi lilisema kuwa kiwango cha ufisadi kimekuwa kikiongezeka katika kipindi cha miaka minne iliyopita....

SHIRIKA LA NDEGE LAPATA TUZO

Shirika la Ndege la Etihad limetajwa kuwa Shirika la Ndege ...

Wednesday, 27 January 2016

BARIDI KALI YASABABISHA SHULE KUFUNGWA…

Jimbo lenye wakazi wengi zaidi nchini Pakistan la Punjab, limeamuru kufung...

TBC KURUSHA MATANGAZO YA BUNGE USIKU...!!

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, amesema kuanzi...

Tuesday, 26 January 2016

WASICHANA BIKIRA KUSOMESHWA BURE.!!

Mashirika ya kutetea haki za binaadamu nchini Afrika Kusini, yanasema yamekasirishwa na mpango w...

TWIGA ALBINO APATIKANA TANZANIA..!!

Mwanasayansi Dk Derek Lee amegundua twiga albino kwenye hifadhi ya mbuga ya Tarangire,iliyopo katika Mkoa wa Arusha nchini Tanzani...

VIBOKO NI MARUFUKU AFRIKA KUSINI..!!!

Kanisa moja nchini Africa Kusini lilikiuka katiba kwa kuhimiza watoto kuchapwa viboko, imesema tume ya haki za binadamu nchini hum...

Monday, 25 January 2016

TETEMEKO LA ARDHI MELILLA…

Watu katika eneo la Uhispania kaskazini mwa bara la Afrika la Melilla, walilazimika kukimbil...

BARIDI KALI YAUA WATU 50….

Watu zaidi ya 50 wamefariki nchini Taiwan, kutokana na wimbi la baridi kali ambalo limeathiri maeneo ya Asia Masharik...

MGOGORO WA KIBINAADAM MISRI..

Shirika la kimataifa la kutetea haki za bimaadamu Amnesty International, linasema nchi ya Misri...

Thursday, 21 January 2016

Watumiaji wa simu Afrika ni wengi kuliko wanaopata maji salama..!1

Story inayohusiana na maswala ua tafiti leo inagusa Afrika, ikiwa ni ripoti ya utafiti wa Afrobarometer ambayo television ya CNN wameiweka kwenye mtandao wao jana January 19 mwaka 201...

Wednesday, 20 January 2016

Walimu marufuku kupaka wanja.!

Serikali wilayani Geita Mkoa wa Geita, imepiga marufuku walimu kuvaa mavazi yasiyolingana na...

Radi yaua watu watatu wa familia moja Rufiji

Watu watatu wa familia moja wakazi wa Kijiji cha Mchukwi wilayani Rufiji Mkoa wa...

Teknolojia ambazo ni gumzo 2016…

Hexo+ Hiki ni kitu kipya katika nyanja za anga na upigaji picha kufuatia kutangazwa kifaa kinachoitwa Hex...

Tuesday, 19 January 2016

Watoto Mil 2.6 hufa kabla ya kuzaliwa…

Utafiti mpya wa tiba unasema watoto milioni 2.6 wanafariki kabla ya kuzaliwa duniani kote kila mwaka, na theluthi mbili ya vifo hivyo vinatokea barani Afrik...

Thursday, 14 January 2016

Marekani kuwalinda simba wa barani Africa..!!

Simba walioko barani Afrika watalindwa zaidi mwaka huu, kufuatia kuuawa kwa simba maaru...

Al Jazeera yafunga runinga Marekani…

Shirika la habari la Al Jazeera limefunga matangazo ya Televisheni nchini Marekani ikiwa ni chini ya miaka mitatu tangu kuzindua huduma zake nchini hum...

Monday, 11 January 2016

Wavaa vimini wacharazwa bakora..!!

Viongozi wa Kitongoji cha Kasalazi kilichoko katika Kijiji cha Kanyara wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza, wanadaiwa kuwachapa fimbo hadharani wanawake wanaovaa nguo fupi na za kubana zinazoonyesha baadhi ya sehemu zao za sir...

Daktari ampiga ngumi mgonjwa na kumuua..!!

Kanda ya video ya CCTV, imetolewa ambapo daktari mmoja nchini Urusi alimpiga ngumi mgonjwa na kumuu...

Kitabu kipya cha Papa kuchapishwa….

Makao makuu ya kanisa katoliki mjini Vatican yamefichua maelezo kuhusu kitabu kipya cha pa...

Friday, 8 January 2016

Homa ya Lassa yauwa 35 Nigeria.!

Idadi ya watu waliopoteza maisha nchini Nigeria kutokana na ugonjwa wa homa ya Virusi vya Lassa, imeongezeka mpaka 35 kutoka watu 2 jana. Mikoa iliyoathirika na kutoa wagonjwa wengi zaidi ni pamoja na Ibadan Oyo, Taraba, Kano, Edo na Niger. Unaambiwa ugonjwa huu unasababishwa na kuenezwa na mnyama Pany...

Perfume inaweza kukuletea balaa..!!

Kama wewe ni kati wale ambao wanakwepa kuoga wakitegemea mtelezo wa Perfume,sikiliza hiii stori tokea huko nchini  Uingerez...

Choo kinachojifungua na kujiosha…!

Choo cha kisasa ambacho kina uwezo wa kujifungua unapokaribia na pia kujiosha, ni moja ya vitu vinavyoonyeshwa katika maonyesho ya kimataifa ya teknolojia mpya za bidhaa za elektroniki Las Vega...

Thursday, 7 January 2016

Mtoto apewa jina la timu ya mpira bila mama yake kujua..!!

Shabiki mmoja wa Arsenal alifanikiwa kumshawishi mkewe wampe mtoto wao jina la Arsenal bila mwanamke huyo kugundua hil...

Tuesday, 5 January 2016

Wagundua tiba ya Ukimwi..!

Wakati dunia ikiwa na zaidi ya watu 34 milioni wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), madaktari nchini Hispania wametangaza kugundua tiba ya ugonjwa huo wanayodai ni uhaki...

Mtandao Mtakatifu kuzinduliwa Accra.!

Kundi la RA ambalo ni la Kikristo nchini Ghana, linatarajia kuzindua kmtandao wa kijamii ambao unatajwa kuwa mtakatifu kinyume na uliozoeleka wa Facebo...

Monday, 4 January 2016

Kikundi chenye ‘shortgun’ chatikisa Moshi…

Hofu imewakumba wakazi wa Moshi mjini, baada ya kudaiwa kuibuka kwa kikundi kinachoua watu kwa bunduki aina ya shortgun na kupora fedha na ma...