Idadi ya
watu waliopoteza maisha nchini Nigeria kutokana na ugonjwa wa homa ya Virusi
vya Lassa, imeongezeka mpaka 35 kutoka watu 2 jana.
Mikoa
iliyoathirika na kutoa wagonjwa wengi zaidi ni pamoja na Ibadan Oyo, Taraba,
Kano, Edo na Niger.
Unaambiwa
ugonjwa huu unasababishwa na kuenezwa na mnyama Panya.
0 comments:
Post a Comment