This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Thursday, 31 December 2015

Gereza kuvunjwa ili madini yachimbwe….!

Gereza la Songwe mkoani Mbeya linatarajiwa kuvunjwa na kujengwa sehemu nyingine kupisha uchimbaji wa madini adimu duniani ya niobiu...

NASA: El Nino hii ni mbaya kama ya 1998..

Hali ya hewa ya El Nino ambayo imekuwa ndiyo kali zaidi katika historia itazidisha hatari ya njaa na maradhi kwa mamilioni ya watu duniani 2016, mashirika ya misaada yamesem...

Tuesday, 29 December 2015

Mbwa aliyeuawa kupewa nishani ya ushujaa...!!

Mbwa wa polisi aliyeuawa wakati wa msako baada ya mashambulio ya Paris, atatunukiwa nishani kuu ya ushuj...

Monday, 28 December 2015

Mlinzi wa Osama bin Laden afariki dunia…

Taarifa kutoka Yemen zinasema aliyekuwa mlinzi wa Osama Bin Laden, amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mre...

Wednesday, 16 December 2015

Usikose kusoma nakala ya gazeti la TABIBU kesho alhamisi.                                                                 TABIBU michezo wiki hii.!!...

Friday, 11 December 2015

Mwanajeshi ashambuliwa na duma akipiga picha…

Jeshi la wanahewa la Afrika Kusini limesema kuwa,duma wawili ambao hufugwa kwenye kambi ya jeshi hilo ili kufukuza wanyama wengine kwenye njia ambayo hutumiwa na ndege kupaa, wamemshambulia afisa wa jesh...

Hili ndilo Baraza la Mawaziri la Rais Magufuli

Kabala ya kutaja majina ya mawazairi waliopo katika baraza lake, Rais Magufuli ameagiza fedha zilizotengwa kwa ajili ya semina elekezi kwa mawaziri hao, zielekezwe kwajili ya matumizi mengine...

Thursday, 10 December 2015

Usikose kusoma nakala yako ya gazeti la TABIBU leo alhamisi kwa bei ya sh.500/= tu                                                         TABIBU michezo wiki hii.!!...

Wednesday, 9 December 2015

Malaysia yatafuta mmiliki wa ndege zilizoachwa uwanjani…

Serikali ya Malaysia imeweka tangazo magazetini,ikitafuta mmiliki wa ndege tatu aina ya Boeing 747 ambazo zimeachwa katika uwanja wa ndege Kuala Lumpu...

Monday, 7 December 2015

Je kuna nini kilomita 5 chini ya bahari…?

Wanasayansi wa Uingereza wanapanga kuchimba chini kabisa ya ardhi katika bahari Hind...

Saturday, 5 December 2015

Gazeti latangaza kifo cha Father Christmas…

Gazeti moja nchini Norway limelazimika kuomba radhi baada ya kuchapisha tangazo la kicho cha Father Christma...

Friday, 4 December 2015

Aliyewaambukiza watu 200 HIV afungwa miaka 25...!

Daktari aliyewaambukiza wagonjwa 200 virusi vya ukimwi nchini Cambodia amehukumiwa jel...

Thursday, 3 December 2015

Kituo cha Radio chachomwa moto Zanzibar…!!!

Watu wasiojulikana waliokuwa wameziziba nyuso zao, usiku wa kuamkia leo wamekichoma kituo cha radio cha Hits Fm kilichopo migombani visiwani Zanziba...

Wednesday, 2 December 2015

Unawajua wanaongoza kwa ufisadi zaidi Afrika……?

Wafanyibiashara wakubwa Africa, wametakwa kuwa miongoni mwa watu wafisadi zaidi sawa na maafisa wa polisi Barani Afrik...

Kitabu cha Adolf Hitler kuchapishwa tena…

Kitabu maarufu cha Adolf Hitler kwa jina Mein Kampf kitachapishwa tena kikiwa na maelezo zaidi ya wasomi mwezi ujao, ikiwa ni mara ya kwanza kitabu hicho kuchapishwa tangu kumalizika kwa Vita Vikuu vya Pili vya Dun...

Thursday, 26 November 2015

Bila kibali cha daktari huruhusiwi kunywa pombe India………

Licha ya jimbo la Gujarat India kupiga marufuku unywaji utengenezaji na unywaji pombe, takriban watu 60,000 wamepewa idhini ya kunywa pom...

Friday, 20 November 2015

Ongezeko la talaka lakumba mji wa Uturuki…

Mji mmoja wa Uturuki uliokaribu na mpaka wa Syria, umeshuhudia ongezeko la talaka katika muda wa mwaka mmoj...

New Zealand kupigia kura bendera mpya……

Raia nchini New Zealand wawanapiga kura kuchagua bendera, ambayo huenda ikachukua nafasi ya bendera ya sas...

Tuesday, 10 November 2015

Mexico kujadili kuhalisha bangi au la…

Rais wa Mexico Enrique Pena Nieto, amesema kuwa ataanzisha mjadala wa taifa kujadili iwapo wanainchi wanataka baingi iidhinishwe au l...

Facebook yaonywa ikome kudukua Ubelgiji…

Mahakama moja nchini Ubelgiji, imeipa Facebook saa 48 kukoma kuwadukua watu ambao hawajajiunga na mtandao huo wa kijami...

Mamba kulinda wafungwa hatari Indonesia…!!

Mkuu wa shirika la kupambana na dawa za kulevya Indonesia, amependekeza mamba watumiwe kulinda wafungwa waliohukumiwa kunyongw...

Monday, 9 November 2015

Kombe la dunia lilichangia mimba zaidi Afrika Kusini..!!!

Mashindano ya kombe la dunia ya mwaka 2010 nchini Afrika Kusini, yalichochea ongezeko la idadi ya watoto wa kiume waliozaliwa nchini humo, miezi tisa baada ya mashindano hayo kuanz...

Ardhi yapasuka na kumeza magari 12.

Wataalamu wa jiolojia wameitwa kufanya uchunguzi, ni jinsi gani ardhi ilipasuka na kumeza magari 12 katika maegesho ya magari jijini Mississipp...

Video: Hii single inaweza kukufariji sanaa

Ni single ya Goodluck Gozbert, mwimbaji ambaye pia ni Producer wa mziki na skillz zake zimehusika kuzisuka nyimbo kadhaa za Mo Music ikiwemo ‘basi nenda‘ ...

Thursday, 5 November 2015

Mexico yahalalisha bangi kwa watu 4 tu…..

Jana nilikuwa na story inayohusu bangi, ambapo wapiga kura katika jimbo la Ohio nchini Marekani, wamekataa pendekezo la kuhalalisha matumizi ya bangi katika jimbo hil...

Wednesday, 4 November 2015

Usikose kusoma nakala ya gazeti la TABIBU kesho alhamisi                                                       TABIBU michezo wiki hii.!!...

Wapiga kura wakataa kuhalalisha bangi Ohio....!!

Wapiga kura katika jimbo la Ohio nchini Marekani, wamekataa pendekezo la kuhalalisha matumizi ya bangi katika jimbo hil...

Monday, 2 November 2015

Wachina kusubiri hadi Machi kupata watoto wawili………..

Mamlaka kuu inayosimamia upangaji wa uzazi nchini Uchina, imeonya wanandoa nchini humo kwamba sharti waendelee kutii agizo la kuwa na mtoto mmoja kwenye familia hadi sheria ifanyiwe marekebisho mwezi Mach...

Mji uliozoea kupandisha bendera nusu mlingoti mkazi akifa…

Mji mmoja kaskazini mwa Iceland, umekuwa kipeperusha bendera ya taifa nusu mlingoti kila mkazi wa mji huo anapofarik...

Thursday, 29 October 2015

Usikose kusoma nakala yako ya gazeti la TABIBU leo alhamisi.!!                                                                      Tabibu michezo wiki hii.!!...

Bibi wa miaka 85 akamatwa kwa kuiba herein……..

Bibi kizee mmoja mwenye umri wa miaka 85 raia wa Marekani, na ambaye amekuwa akiiba vito vya thamani kwa zaidi ya miaka 60 amehukumiwa tena kwa kosa la wiz...

Thursday, 22 October 2015

Je Aspirin inazuia kurejea kwa Saratani…..?

Utafiti mkubwa na wa kwanza kubaini iwapo umezaji wa tembe za Aspirin kila siku unapunguza kwa kiwango kikubwa athari ya kurejea kwa saratani umeanza nchini Uingerez...

Filamu mpya ya Stars Wars yavunja rekodi…

Filamu mpya ya Star Wars: The Force Awakens imevunja rekodi Uingereza kwa kuuza tikezi nyingi zaidi siku ya kwanza ya kuuzwa kwa tiket...

Je wajua siri ya Mamba usingizini….?

Wataalamu wa masuala ya wanyama wamegundua kwamba, mamba ana uwezo wa kulala huku jicho lake moja likiwa waz...

Wednesday, 21 October 2015

Usikose nakala yako ya gazeti la TABIBU kesho alhamisi likiwa limesheheni habari kemkem za afya. Ni kwa bei ya sh. 500/= tu. TABIBU michezo wiki hii.!!...

Thursday, 15 October 2015

Usikose kusoma nakala yako ya gazeti la TABIBU leo alhamisi liko mitaani kwa bei ya sh. 500/= tu. Utapata kujua undani wa tiba za asili na kisasa kuusu magonjwa mbalimbali. "TABIBU NI DAKTARI WAKO WA NYUMBANI"                                                      TABIBU michezo wiki hii.!!!...

Friday, 9 October 2015

Utafiti waonesha hatari ya sigara,China……

Utafiti mpya umeonya kuwa sigara ina uwezo wa kuua kijana mmoja kati ya vijana watatu nchini Chin...

Thursday, 8 October 2015

Usikose kusoma nakala yako ya gazeti la TABIBU leo alhamisi kwa sh. 500/= tu.                                                              TABIBU michezo wiki hii.!!...

Tuesday, 6 October 2015

Utafiti: Pilipili huchangia maisha marefu…

Kwa miaka mingi sasa binadamu amekuwa akitumia pilipili kuongeza ladha kwenye mlo wake. Kuna wanaovutiwa na ukali wake na vilevile wanaoichukia kutokana na ukali hu...

Facebook kuanzisha Satelite yao…

Kampuni ya Facebook imetangaza kuwa itaanzisha mtandao wa satellite, ili kutoa huduma za internet kwenye maeneo yaliyo mashambani barani Afrik...

Monday, 5 October 2015

Antenna Show ya radio 5 Tar 30-9-2015

Kama ulimiss kusikia nilichokifanya kwenye Show ya Antenna Tarehe 30-9-2015, basi nimekupachikia hapa twende sawa, show hufanyika siku tano za za wiki yaani Monday to Friday kanzia saa kumi kamili jioni mpaka saa kumi na mbili nusu jioni. KIWA STRONG "Kiwale 11"...

Thursday, 1 October 2015

Nyani wazima kituo cha redio Zimbabwe……

Nyani wasumbufu katika kijiji cha Zvishane mjini Zimbabwe,wamedaiwa kukizama kituo kimoja cha cha redio nchini hum...

Mbwa atumia wiki tatu kujifunza lugha mpya……

Mbwa aliyekuwa akiandamana na mmiliki wake kwenye darasa la kujifundisha lugha, ameshangaza wengi baada ya kuanza kuelewa lugha hiyo baada ya wiki tatu peke...

Wednesday, 30 September 2015

Madaktari wapata idhini ya kupandikiza tumbo la Uzazi…

Mtoto wa kwanza kuzaliwa baada ya mamake kupandikizwa tumbo la uzazi Madaktari nchini Uingereza, wamepata idhini ya kupandikiza tumbo la uzazi la wanawake kwa mara ya kwanz...