This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Friday, 29 May 2015

Historia fupi ya Rais mpya wa Nigeria……

Rais mpya wa Nigeria Buhari Mshindi wa uchaguzi mkuu nchini Nigeria Muhamadu Buhari, anaapishwa leo kama rais mpya wa nchi hiy...

Malori toka Tanzania yasababisha ajali 227 Zambia………….

Wakati Serikali na wadau wa usafiri wakiendelea kutafuta mwarobaini wa ajali nchini, imeelezwa kuwa malori ya Tanzania yamesababisha ajali 227 nchini Zambia kati ya Januari na Me...

Wachina 15 mbaroni kwa kugushi....!!

 Raia 15 wa China wamefunguliwa mashitaka nchini Marekani kwa tuhuma za udanganyifu wa matokeo na nyaraka za kitaaluma walizozitumia kujiunga na elimu ya juu nchini Marekan...

Thursday, 28 May 2015

Pombe yasababisha kifo cha Mteja,Mhudumu ahukumiwa kifungo…….

Muhudumu mmoja wa baa amepatikana na hatia ya mauaji, baada ya kumpa mteja wake jumla ya vipimo 56 vya pombe na kisha akaf...

Marekani:Jeshi latuma Kimeta kimakosa.....

Maafisa 22 waliogusana na zana hiyo ya kimeta katika kambi ya Osnan Korea Kusini wanachunguzwa Maafisa wakuu katika idara ya ulinzi ya Marekani wamekiri kuwa chembechembehai za ugonjwa hatari wa Kimeta zilitumwa kimakosa kwa kambi 9 za kijeshi nchini Marekani na moja nchini Korea Kusin...

Wakili nchini Kenya kuwa mkwe wa Obama?

Taarifa kuwa wakili mmoja wa kenya amesema yuko tayari kutoa mahari kwa mtoto wa raisi wa Marekani,Barrack Obama zimeenea duniani kote Felix Kiprono amesema yuko tayari kutoa ng'ombe 50,kondoo 70 na mbuzi 30 kwa ajili ya mahari ya mtoto wa Obama,Malia Obama.Hivyo anajiandaa kuzungumzia swala hilo na baba wa mtoto huyo atakapo tembelea Kenya ,mwezi Jul...

Hospitali kulipa fidia ya Ujauzito………

Mahakama nchini Kenya imeamuru hospitali maarufu kulipa faini ya dola zaidi ya elfu 48 kwa kushindwa kuzuia uzaz...

Wednesday, 27 May 2015

Yajue maajabu ya viazi vyekundu. Usikose nakala ya gazeti la TABIBU kesho alhamisi lipo sokoni likiwa limesheheni habari kemkem za afya. ...

Gari za kijeshi zatumika kubeba maharusi…………

Wakala wa maandalizi ya Harusi mjini Moscow, wamewakodishia magari ya kivita ( Deraya) maharusi wapya ili yawasindikize kwenda kwenye sherehe yao badala ya kukodi gari ya kifahari aina ya li...

Tuesday, 26 May 2015

Utafiti:Uzito mkubwa ni hatari………

Kuwa na uzito mkubwa katika umri mdogo kunaweza kusababisha ugonjwa wa saratani ya utumbo hapo baada...

Huyu mzee wa miaka 180 anatamani kufa…….!!!!

Watu wengi duniani hapa hawapendi kusikia ama kutaka kujua ni siku gani atakufa, kwa  kawaida ni kwamba kila mtu huwa anaogopa anaposikia taarifa zinazohusiana na ki...

Mafuriko yaua 18,Texas Marekani..!!!

Greg Abbott, Gavana wa jimbo la Texas Mafuriko yamesababisha vifo vya watu 18 Magharibi mwa Marekani na Kaskazini mwa Mexc...

Papa Francis: Sijatazama Tv kwa miaka 25..!!!

Papa Francis Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amesema kuwa hajawahi kutazama runinga kwa miaka 25 sas...

Monday, 25 May 2015

Baada ya kutoka kifunguni Lowassa Afunguka!!!!

Wiki iliyomalizika story kubwa kwenye siasa za Tanzania ilikuwa kuhusiana na CCM kuwafungulia makada wake si...

Wednesday, 20 May 2015

Nkurunziza ahairisha uchaguzi…!!

Rais wa Burundia Pierre Nkurunziza amehairisha uchaguzi wa ubunge kwa siku kumi. Msemaji wa rais Willy Nyamitwe ameiambia shirika la habari la A...

Je wewe ni mnunuzi wa bidhaa za urembo. ?

Tahadhari. Kinyesi cha panya na mkojo wa binadamu ni baadhi ya viungo vinavyotumika kutengeza bidhaa ghushi za uremb...

Obama ajiunga na Twitter..!!

Rais wa Marekani Barack Obama amejiunga na mtandao wa twitter, ikulu ya White House imethibitisha Rais wa Marekani Barack Obama amejiunga na mtandao wa twitter, ikulu ya White House imethibitisha. Akitumia anuani @POTUS (President Of The United States) Obama tayari amewavutia wafuasi 1.7 milioni moja nukta sab...

Magari milioni 34,kurejeshwa viwandani..!!!

Mifuko ya Hewa ya Kampuni ya Takata ikiandaliwa kiwandani tayari kwa matumizi Takriban magari milioni thelathini na nne 34,000,000 yanatarajiwa kurejeshwa viwandani nchini Marekani kufuatia hitilafu ya kiufundi kwenye mifuko ya hewa ya usala...

Watinga kuchukua maiti wakivalia nguo za magunia……….

Ilikuwa ni kama kutekeleza maandiko ya Biblia yanayosema “jifungeni nguo za magunia, ombolezeni na kulia kwa uchungu”, wakati ndugu walipokwenda Hospitali ya Rufaa ya KCMC kuchukua mwili wa marehem...

ANTENNA SHOW YA J4 MAY 19 2015 RADIO 5..

Sikiliza kipindi chako bomba cha Antenna kila juma tatu mpaka ijumaa kuanzia saa kumi jion mpaka kumi na mbili na nusu jioni,kwa habari,mijadala,michezo buradini n.k. Ungana na Team Antenna Kiwa strong,wnde mpembwa na Dj Ibra katika show hii haliiiiiii..!!! Bonyesha play hapa chini kusikiliza kiduchu show ya jana ilivyokwenda kwa hewaaaaa. ...

Tuesday, 19 May 2015

Misri mashakani kwa unyanyasaji wa kijinsia...!!!

Maandamano dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia  Shirika la kupigania haki za binaadamu lenye makao yake mjini Paris linasema kuwa vikosi vya usalama nchini Misri vinatumia unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wale wanaokomatwa na kuzuiliw...

Wanawake Rombo wakodi wanaume Kenya.....!!!

Mkuu wa Wilaya ya Rombo Lembris Kipuyo, amesema tatizo la ulevi kupindukia Wilayani humo limewaathiri wanaume kiafya na kuwataka watendaji kulivalia njug...

Utafiti: Kuhusu majina yanayopenda Michepuko…..

Imebainika kwamba watu wenye majina yafuatayo si waaminifu kwenye maswala ya mapenzi na kila wanapokuwa kwenye mahusiano,basi mara moja moja hupenda kuchepuk...

KAMA ULIMISS KUSIKILIZA ANTENNA SHOW JANA J3 NIMEKUWEKEA HAPA!!!

Kipindi hiki kinaruka katika siku Tano za wiki juma tatu mpaka Ijuma kuanzia saa kumi jioni mpaka saa kumi na mbili na nusu,kikiwa na habari,matukio,mahojiano,utabiri wa hali ya hewa,michezo na muziki mzuri. Vyote hivyo vinafikishwa kwenye spika yako na Team Antenna Kiwa Strong,Wende Mpembwa na Dj Ibra. Bonyeza hapa chini kuisikiliza show ya jana Juma tatu tar 17-5-2015. ...

Muuguzi awaua wagonjwa wake Uingereza..

Muuguzi mmoja amehukumiwa kwa makosa ya kuwaua wagonjwa wake wawili na kuwapa wengine 20 sumu katika hospitali ya Greater Mancheste...

Monday, 18 May 2015

Hii hapa List ya washindi wote wa BillboardAwards2015.

Billboard Music Awards 2015 ndio habari kubwa kwenye headlines za burudani Marekani kuanzia jana tarehe May 17 2015. Sherehe ya Tuzo hizo kubwa kwenye muziki zimefanyika ukumbi wa Grand Garden Arena, Las Vega...

Utafiti:Mazoezi yatakuongezea miaka 5 zaidi..!!

Utafiti umeonesha kuwa watu wanaofanya mazoezi ya kila mara wanaishi kwa miaka mitano zaidi ya wale ambao hawafanyi mazoezi yeyot...

Friday, 15 May 2015

New AUDIO | NAY WAMITEGO Ft. DIAMOND PLATNUMZ-MAPENZI au PESA | Download/Listen

Nimekuwekea hapa mkwaju mpya wa kijana wa Manzese Ney wa mitego akiwa na Diamond etiii nikuulize swali wewe waonaje ni Mapenzi au Pesa? Bonyeza hapa chini kuisikiliza pia waweza kuishusha one love. ...

Muuguzi Tuhumani kwa kumtesa mtoto….!!

Habari za kuhusiana na unyanyasaji wa watoto, zimeendelea kuripotiwa kutoka ndani ya familia na jamii za watu wengi duniani. Utakumbuka vizuri kuhusiana na lile tukio lililotokea kule Nchini Uganda, la cha msichana wa kazi kumtesa mtoto wa bosi wake kwa kumpig...

Jehi la Indonesia lawamani…!!!!!

Kikundi kimoja cha wanaharakati wa kutetea haki za binaadamu nchini Indonesia,kimetoa wito kwa serikali ya nchi hiyo kuacha mara moja zoezi la kukagua biki...

SIKILIZA MKASA WA KIJANA GEORGE..!

Linusi Kilembu Mtangazaji wa kipindi cha Mikasa ya Maisha Radio 5. Kipindi cha Mikasa ya Maisha ni moja ya vipindi vya kijamii vilivyo bora kabisa katika kuisaidia jamii hususani kwa watu wanaokutwa na matatizo mbali mbal...

Mkwaju mpya wa J.Cold Huu hapa..!!

Kijana toka ukanda wa kaskazi mkoa wa Kilimanjaro,anafahamika kama January lakini katika sanaa ya muziki anafahamika kwa jina la J.Col...

LOVE CUT NA SEMIO SONYO RADIO 5 Tar 14-5-2015

Kama uliimiss show ya LOVE CUT siku ya Alhamis usiku,nimekuwekea hapa ilikuwa ni Full Lovers Doze,ngoma nzuri za kimapenzi lakini pia Love Class ilihusik...

Hii hapa goma nyingine mpya ya Same Girls..!!!!

Vijana kutoka kanda ya kaskazini wakifanya mziki mzuri,sasa baada ya kuisikia record yao inayokwenda kwa jina la More Bab...

Thursday, 14 May 2015

Kichanga cha siku tatu chatupwa……….

Mtoto mchanga wa kiume wa siku tatu katika mtaa wa Masanga Wilaya ya Igunga, ameokotwa akiwa amekatwa viungo vyake na watu wasiojulikan...

Breaking: Burundi watu wote ndani, Wanajeshi kwa Wanajeshi wanapambana.

Kutoka Bujumbura Burundi taarifa za sasa ni kwamba raia wameamriwa kutotoka nje, milio ya risasi inasikika, Wanajeshi watiifu wa Rais wanapambana na waliompindu...

SIKILIZA SHOW YA ANTENNA RADIO 5 YA TAR 13-5-2015

Show inakuwa hewani kila juma tatu mpaka ijumaa kuanzia saa kumi jioni mpaka kumi na mbili na nusu jioni,ndani ina vitu kibao habari mchanganyiko,matukio,burudani n.k Nimekuwekea hapa chini show ya jana juma tano twene sawa. ...

Zijue faida za Papai kwa afya na pia kama Tiba pata nakala yako ya gazeti la TABIBU wiki hii likiwa limesheheni habari za afya kwa bei ya sh. 500/= tu TFF ,CRDB tuwaweke kilingeni watupe majibu. Usikose gazeti la TABIBU wiki hii kuna habari za kusisimua za michezo na burudani. ...

Wednesday, 13 May 2015

Kiungo PSG akiri kuwa mwanamke..!!!!

UKISTAAJABU Musa, utayaona ya Filauni! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo wa kimataifa wa Italia, anayekipiga Paris Saint-Germain (PSG), Marco Verratti kukiri kuwa yeye ni mwanamk...

Mkenya kunyongwa China…………..!

Mwanadada mwenye umri wa miaka 26 huenda akanyongwa baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa ya kulevya nchini china ambapo Mkenya huyu Floviance Owin...

Tuesday, 12 May 2015

Hiki ndicho kinachovutia mbu kumuuma binadamu..!!

Ukitaja  mbu, wazo litakalomjia mtu kwa haraka ni ugonjwa wa malari...

Monday, 11 May 2015

Sheria ya makosa ya mitandao tayari imesainiwa na Rais…!!!!

Rais Jakaya Kikwete tayari ameshasaini sheria yenye utata ya makosa ya mtandao na muda wowote kuanzia sasa itaanza kutumika rasm...

Korea Kaskazini yazindua Silaha kali…

Serikali ya Korea Kusini inasema inaamini kuwa Korea Kaskazini,inaweza kumiliki nyambizi kadha za kufanya mashambulizi kutoka baharini ndani ya miaka mitano ijay...

Ajabu lakini kwelii: Riport ya Gari Zilizotembea miezi 8 bila dereva..!!!!!

Teknolojia imeendelea kusababisha kuonekana kwa maajabu mbali mbali Dunia,yakiwemo ya mambo ambayo kwa kufikiria kwa wepesi kabisa utaona hayawezekani lakini Teknilojia imeyafanya yawezekan...

Hizi ndizo story zilizoko kwenye Headlines leo May 11 TZ:

JWTZ wanasubiri kupokea miili ya wanajeshi waliofariki DRC Congo, Waziri Mkuu Pinda atakabidhiwa ripoti ya maafa ya mvua Dar leo, Kafulila ameapa kuibua ishu ya ESCROW upya, anaituhumu Ikulu kuwasafisha watuhumiw...

Wanasayansi watengeza mbegu za kiume!!!!!!

Seli za mbegu za kiume zimetengezwa katika maabara kwa mara ya kwanza na hivyo basi kuwapa matumaini wanaume wasio na uwezo wa kupata watot...

Kanisa labadilishwa kuwa msikiti Itali..!!!!

Iceland imezua hisia kali wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya usanii katika mji wa Venice nchini Italy baada ya kulibadilisha kanisa ambalo lilikuwa halitumiki kuwa msikit...

Pakua ngoma mpya ya Same Girls hapa.!!

Nimekuwekea hapa wimbo mpya wa Same Girls unakwenda kwa jina la More baby unaweza kuusikiliza ama kuupakua hapa chini onyesha saport yako kwa vijana hawa...

Thursday, 7 May 2015

Kwa bei ya sh.500/= utayajua magonjwa sugu 8 ambayo yanatibiwa kwa mbegu za tikiti maji, usikose nakala yako ya gazeti la Tabibu wiki hii.  Katika michezo fahamu maisha ya Simon Msuva na mengine mengi. ...