Thursday, 24 August 2017

VIDEO: KITUO CHA SHERIA CHATOA TAMKO LA KUHUSU UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU NCHINI….

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, leo kimekutana na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam,na kutoa Tamko kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini yanayosababisha uvunjifu wa haki za binadamu.

Kituo hicho kimesema kuwa hali hiyo imejitokeza kwa kasi hasa katika kipindi kifupi, baada ya kuzinduliwa taarifa ya Haki za Binadamu ya nusu mwaka.
Tizama video hapo chini.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment