Monday, 28 August 2017

VIDEO:POLISI WAZUNGUMZA KUHUSU KULIPULIWA OFISI ZA MAWAKILI…

Kufutaia tukio la kulipuliwa kwa ofisi za immma advocates, ambazo inaelezwa kuwa hutumiwa pia na wakili fatma karume.

jeshi la polisi kanda maalumu ya dar es salaam, leo limetoa taarifa kuhusu kulipuliwa kwa ofisi hizo.

Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya rais wa chama cha wanasheria tanganyika tls tundu lisu, kuwataka wanachama wote wa TLS nchi nzima kususia kuhudhuria mahakamani kufanya kazi za uwakili kwa siku mbili jummanne na jumatano, kupinga shambulio dhidi ya ofisi hizo za immma advocates.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment