HII NDIO NCHI INAYOONGOZA KWA WATU WAKE KUWA NA HIV..!
Marekani imeiahidi Afrika Kusini
msaada wa dola milioni 410, katika vita dhidi ya ugonjwa wa
Ukimwi.
Afrika Kusini ina idadi kubwa zaidi
ya watu wanaoishi na virusi vya HIV duniani.
Msaada huo wa Marekani utasaidia
kati…Read More
MAMIA KUPIGWA PICHA ZA UTUPU UINGEREZA
Mamia
ya watu watavua nguo zao na kupigwa picha wakiwa tupu kusherehekea utamaduni
katika mji wa Hull, Uingereza.
Tukio hilo litakuwa la
kusherehekea mji huo kama Mji wa Utamaduni.
Washiriki watapakwa rangi ya
samawati …Read More
UNENE WA KUPITA KIASI……!
Utafiti wa
mmoja kiafya duniani umeonyesha ongezeko la asilimia 82 la watu wanene kupita
kiasi kati ya mwaka wa 1990 na 2010, likasema jarida la tiba la Uingereza, ‘The Lancet’, Volume 387, la
Aprili 2, 2016
Vifo v…Read More
NEW JOINT:KAA TAYARI-ROMA FT JOSE MTAMBO & DARASA
Ngoma mpya ya Roma Mkatoliki amewashirikisha Jos Mtambo na Darassa,Imetayarishwa na J-Ryder katika studio za Tongwe. Unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza kitufe cha Play hapo chini.
…Read More
MUSEVENI ASIMAMISHA MSAFARA WAKE KUPOKEA SIMU…!!
Rais wa Uganda bwana Yoweri Kaguta Museveni, amezua
kihoja katika kijiji kimoja karibu na
mpaka wa Uganda na Tanzania
aliposimamisha msafara wake wa magari iliapokee simu faraghani.
Amini usiamini Rais Yoweri
Museveni a…Read More
0 comments:
Post a Comment