This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Friday, 29 April 2016

SARAFU ZA KIRUMI ZAPATIKANA UHISPANIA..!!

Katika hali ya kushangaza wafanyikazi wa ujenzi kusini mwa Uhispania, wamegundua akiba kubwa...

COLOMBIA YAHALALISHA NDOA ZA JINSIA MOJA…!

Mahakama ya juu zaidi nchini Colombia, imehalalisha rasmi ndoa za wapenzi ...

BALOZI WA SAUDI ARABIA AMEPEWA SAA 48 KUONDOKA ROMANIA…

Balozi wa Saudi Arabia nchini Romania ambaye anakabiliwa na tuhuma ya kumbaka na kumu...

ASHINDA TUZO AKIWA MAHABUSU…..!!

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THDRC), umempa tuzo ya mwaka George Mgoba aliye mahabusu akikabiliwa ...

Thursday, 28 April 2016

MTOTO WA MIAKA 2 AMUUA MAMAKE KWA BUNDUKI..!!

Mvulana wa umri wa miaka miwili amempiga risasi na kumuua mamake kimakosa, katika mji wa Milwaukee nchini Marekan...

Wednesday, 27 April 2016

ALIYEVUMBUA PLEASE CALL ME ASHINDA KESI…!!

Mahakama ya Kikatiba nchini Afrika Kusini, imeiamuru kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kumlipa mwanamume aliyebuni wazo la kutuma ujumbe wa kuomba apigiwe sim...

WATU KUFANYA KAZI SIKU MBILI KWA WIKI VENEZUELA…!!

Serikali ya Venezuela imeagiza wafanyakazi wake wawe wakifanya kazi siku mbili kwa wiki,hii ni hatua ya muda iliyochukuliwa kutokana na uhaba wa umem...

HII NDIO NOTI YENYE MWONEKANO MZURI DUNIANI…!!

Mkutano wa Mwaka wa ‘International Bank Note Society’s ‘IBNS’, umetamb...

KICHAA CHA MBWA HUU WATU ZAIDI YA 1000 KILA MWAKA NCHINI….

Imeelezwa kuwa watu elfu 1 mia 6 hasa watoto hufa nchini kila mwaka, kutokana na ugonjwa ...

UKILALA KATIKA KITANDA KIPYA HUTALALA VYEMA…!!

Je ushawahi kugundua kuwa ukilala katika kitanda au mazingira mapya haupati usingizi wa kutosh...

Tuesday, 26 April 2016

MKE WA KIBAKI AFARIKI……

Mke wa Rais mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki Lucy Kibaki, amefariki dunia leo jijini London, Uingereza alipokuwa akipatiwa matibab...

MAELFU WAANDAMANA NORTH CAROLINA….

Maelfu ya waandamanaji wamesafirishwa kwa mabasi hadi katika mji mkuu wa jimbo la North Carolina nchini Marekani ili kufanya maandaman...

WAKATI BORA WA KUPEWA CHANJO YA HOMA…

Na utafiti nchini Uingereza unaonesha kuwa, chanjo ya homa ni bora zaidi iwapo mtu atapewa majira ya asubuhi badala ya alasiri. Watafiti wamebaini kuwa uwezo wa mwili wa mtu una nguvu mno kuwa na matoke bora iwapo mtu apata chanjo hiyo kabla ya saa tano mchana...

Monday, 25 April 2016

JENERALI WA JESHI NA MKEWE WAUAWA BURUNDI..!!

Afisa mkuu wa jeshi la Burundi ameuawa pamoja na mkewe, baada ya kushambuliwa na wa...

MVULANA WA MIAKA 16 ASHTAKIWA UGAIDI AUSTRALIA..!

Polisi nchini Australia wamemshtaki mvulana mwenye umri wa miaka 16, ambaye anasemeka...

Saturday, 23 April 2016

WABAKAJI WA WATOTO KUHASIWA…!!

Sheria mpya imeidhinishwa nchini Kazakhstan, inayoruhusu utumiaji wa kemikali kuhasi il...

KENYATTA ATOA DOLA MIL 10 ZA KILIMO CHA MIRUNGI….

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kwamba serikali yake itatenga dola za Kimarekani 10 milioni za kusaidia wakulima wa mirungi kwenye bajeti ya mwaka ujao wa kifedh...

Friday, 22 April 2016

UTAFITI:MILIONI 2.3 YA NGUVU KAZI NCHINI HAINA AJIRA…

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema kuwa,watanzania milioni 2.3 kati ya watu milioni 22.3 ambao ndio nguvu kazi ya taifa hawana ajir...

VOLKSWAGEN KUNUNUA MAGARI YAKE..!

Kampuni ya magari ya Volkswagen, imetangaza kuyanunua magari ya kampuni yake kutoka kwa wateja nchini Marekani yapatayo nusu milion...

Thursday, 21 April 2016

WANANE MBARONI KWA KUNYWA POMBE MCHANA…

Wilaya ya Sengerema imeanza kutekeleza kwa vitendo agizo la Rais, baada ya kukamata watu wanane waliokutwa wakinywa pombe saa za kaz...

CANADA KUHALALISHA MATUMIZI YA BANGI..!!

Serikali ya Canada itabuni sheria mpya mwaka ujao, ambazo zitahalalisha uuzaji wa bang...

MWANAMKE MTUMWA KUWEKWA KWENYE DOLA MAREKANI…

Picha ya mtumwa mmoja aliyekata nyororo na kisha kusaidia mamia ya wenzake kutoroka utumwa, sasa itatumika katika noti mpya ya dola 20 nchini Marekan...

MALKIA ELIZABETH ATIMIZA MIAKA 90…

Siku ya leo tarehe 21-4-2016 Malkia Elizabeth ametimiza miaka tisini ya kuzali...

Wednesday, 20 April 2016

MITSUBISHI YAKIRI MAKOSA KWA MAGARI YAKE…

Kampuni ya kuunda magari ya Japan ya Mitsubishi, imekiri kufanya makosa kwa tamwimu za matumizi ya mafuta kwa zaidi ya magari 600,00...

Tuesday, 19 April 2016

MSOMI AVUA NGUO KWA KUFUNGIWA OFISI…

Hatua ya mwanamke mmoja msomi ya kuvua nguo nchini Uganda, imezua mjadala mkali nchini hum...

ATOLEWA KWENYE NDEGE KWA KUONGEA KIARABU……

Mwanafunzi wa chuo kikuu raia wa Iraq katika jimbo la California nchini Marekani, anasema ku...

Monday, 18 April 2016

MWANAMUZIKI AFUTA TAMASHA BAADA YA MBWA WAKE KUUGUA…

Mwanamuziki mmoja kutoka Uingereza, ameahirisha tamasha lake la muziki visiwa vya Caribbean baada ya mbwa wake kuugu...

IMARATI KUJENGA KITUO CHAKE CHA KIJESHI NJE YA NCHI…

Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umeanza kujenga kituo chake cha kwanza cha kijeshi nje ya nchi huko Eritre...

Thursday, 14 April 2016

ATUMIA VIDONGE VYA NGUVU ZA KIUME KUZOA KURA…!!

Katika mataifa mengi ya Afrika wakati wa uchaguzi, wanasiasa hutoa pesa ili kuwashawishi wapigaji kura kuwachagu...

Wednesday, 13 April 2016

SERIKALI YAZIDI KUSISITIZA KUFUNGA SIMU BANDIA….

Serikali imesisitiza kuwa azma yake ya kuzifunga simu za bandia ifikapo Juni 16 mwaka huu i...

WAFUGAJI WAPIGWA STOP KWENDA NA SILAHA ZA JADI KWENYE MIKUSANYIKO…

Watu wa jamii ya wafugaji wamepigwa marufuku, kwenda na silaha za jadi katika sherehe mbalimbali hasa za harus...

Tuesday, 12 April 2016

WANASAYANSI WAGUNDUA DAWA INAYOREFUSHA MAISHA….

Dawa inayotumika kwa matibabu ya kawaida, huenda ikategua kitendawili cha kurefusha maisha na kuzuia uze...

HAKIMU ‘FEKI’ ATIWA MBARONI…

Mkazi wa kijiji cha Kanyama Kata ya Bujora Wilaya ya Magu mkoani Mwanza Erick Mkundi (23), ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kufanya kazi kama Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kongoro akiwa hana sifa hiy...

MLIMA KILIMANJARO WAIPAISHA TANZANIA KIMATAIFA..

Mlima Kilimanjaro umeendelea kuipaisha Tanzania kimataifa, baada ya kushinda kivutio cha asili Afrika kwenye Tuzo za Utalii duniani (WTA) zilizofanyika juzi visiwani Zanziba...

Thursday, 7 April 2016

FACEBOOK YATUMIKA KUUZA SILAHA LIBYA…

Utafiti mpya umebaini kwamba kuna soko linaloendelea kuimarika katika biashara haramu ya...

VIROBA VYAPIGWA MARUFUKU ARUSHA..!

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Ntibenda, amepiga marufuku uuzwaji wa kilevi aina ya kiroba katika mkoa wake...

LEO NI KUMBUKUMBU YA KIFO CHA AMANI ABEID KARUME…

Leo April 7, 2016 ni siku ya kumbukumbu ya miaka 44 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar...

BIASHARA YA UKAHABA YAPIGWA STOP UFARANSA.!

Bunge la Ufaransa limeidhinisha sheria mpya, inayopinga biashara ngono nchini hum...

Wednesday, 6 April 2016

ASKARI 500 WA MAREKANI WALIJIUA 2015…!!

Takaribani askari 500 wa Jeshi la Marekani walijiua mwaka jana, na hivyo kuendeleza mkondo wa...

IRAN, PAKISTAN NA SAUDIA ZINAONGOZA KWA KUNYONGA…..

Shirika la haki za kibibaadamu la Amnesty International limesema kuwa, kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu walionyongwa ulimwenguni mwaka uliopita, ikilinganishwa na kipindi chochote tangu mwaka 198...

TOP 5 YA WEZI WAPUMBAVU DUNIANI…

Katika karibu kila jambo duniani, mwanadamu huhitajika kutumia akili ili kufanikiw...

NIMEKUWEKEA HAPA SHOW YA ANTENNA YA TAR 4 APRIL 2016.

Show inakwenda hewani siku tano za wiki kuanzia saa kumi kamili jioni mpaka saa kumi na mbili na nusu jioni kupitia radio 5,be connected twende sawa wewe ni bnge la msikilizajiI. ...

Monday, 4 April 2016

APP YA SIMU YA TALIBAN YATOLEWA SOKONI.....

Alemarah programu inayotumiwa katika simu za Android iliyoundwa na kundi la wapiganaji wa Taliban, imeondolewa kwenye soko la programu la Google Play Stor...

WAWILI WAFA KWA KUANGUKIWA NA KIFUSI MACHIMBONI….

Watu wawili wameaga dunia baada ya kuangukiwa na kifusi kwenye machimbo haramu ya dhahabu hapo juzi huko katika mkoa wa Geit...

ASH SHABAAB YAMNYONGA MTANZANIA…!

Raia wa Tanzania Jemes Mwesiga (27) aliyejiunga na kundi la al Shabaab la nchini Somalia, amenyongwa na kundi hilo kwa tuhuma za ujasus...

UJERUMANI YAKABIDHI NDEGE KUKABILI UJANGILI…

Serikali ya Ujerumani imetoa msaada wa ndege maalumu aina ya “Husky A-1C Aircraft” kwa Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Malisili na Utalii kusaidia katika doria za kupambana na ujangili katika Pori la Akiba la Selou...

Saturday, 2 April 2016

RIPOTI: DUNIA YAELEMEWA NA WATU WANENE..!

Utafiti mpya umeonesha watu wazima wengi duniani ni wanene kupita kiasi na kwamba hakuna matumaini ya kufikia lengo la kupunguza idadi ya watu wanene dunian...

Friday, 1 April 2016

KOREA KASKAZINI YARUSHA KOMBORA JINGINE BAHARINI…

Wanajeshi wa Korea Kusini wanasema kuwa, Korea Kaskazini imefyatua kombora ...

AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUTISHIA KUMUUA RAIS MAGUFULI….

Kondakta Hamimu Seif (42) mkazi wa Mwananyamala Ujiji jijini Dar es Salaam, amefikishwa katik...