This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Monday, 29 February 2016

WALIMU KUTOLIPA NAULI DAR ES SALAAM..

Hatimaye walimu katika jijini Dar es Salaam nchini Tanzania wataanza kusafiri bure bila ya kutozwa naul...

SAMATTA AIBEBA GENK…

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amefunga bao lake la kwanza...

MJI WA INDIA WAPIGA MARUFUKU FILAMU…!

Mji wa kaskazini mwa India Aligarh, umepiga marufuku filamu mpya yenye jina la mji huo kuoneshwa huko, kwa sababu inahusu mapenzi ya jinsia moj...

Saturday, 27 February 2016

IDADI YA WATU YAPUNGUA JAPAN.…

Takwimu rasmi ya idadi ya watu nchini Japan, imeashiria kuwa idadi ya watu nchini humo ilipungua kwa takriban watu milioni moja katika kipindi cha miaka mitano iliyopit...

RAIS MPYA WA FIFA NI GIANNI INFANTINO……

Raia wa Switzerland Gianni Infantino amechukua mahala pake Sepp Blatter kama rais wa shirikisho la soka duniani Fif...

Friday, 26 February 2016

BREAKING NEWZZZZZ..!!! MAWAZIRI KUTUMBULIWA MAJIPU..!!

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli,ameagiza mawaziri wasiorejesha hati za tamko la mali na ahadi ya uadilifu, kufanya hivyo kabla ya saa 12 jioni leo february 26.. Unajua wasipofanya hivyo ni nini kitatokea,bonyeza play hapo chini umsikie waziri mkuu Kassimu Majaliwa alipokuwa akitoa agizo hilo la Rais....

UTAFITI: MWANYA KATI YA MATAJIRI NA MASIKINI UNAZIDI KUPANUKA MAREKANI…

Utafiti mpya unaonyesha kuwa mwanya kati ya matajiri na masikini unazidi kupanuka nchini Marekan...

Thursday, 25 February 2016

BEIJING YAIPITA NEW YORK KWA MABILIONEA…!!

Jiji la Beijing limelipita jiji la New York katika kuwa na idadi kubwa ya mabilionea, ripoti mpya ya shirika la Hurun kutoka Uchina inasem...

Wednesday, 24 February 2016

MCHEZAJI ALIYEMPA REFA ''KADI NYEKUNDU'' APONGEZWA…!!

Mashabiki wa kilabu Trabzonspor wamefanya maandamano, wakimuunga mkono mchezaji mmoja ambaye alipewa kadi nyekundu kwa kumuonyesha kadi nyekundi ref...

MARS YATAKA CHOKOLETI ZIRUDI KIWANDANI…

Watengenezaji wa chokoleti za Mars nchini Marekani, wamesema inazitaka nchi hamsini na tano kurejesha mamilioni ya chokoleti zilizotokea kiwandani hap...

NDEGE ILIYOWABEBA WATU 21 YATOWEKA NEPAL….

Ndege ndogo iliyowabeba abiria 21, imetoweka ikiwa maeneo yenye milima nchini Nepa...

Tuesday, 23 February 2016

WAFANYAKAZI WATUMBUA JIBU KAMPUNI YA UJENZI ARUSHA…

Mkuu wa wilaya ya Arusha Fadhili Mkulu, ameitakakampuni ya ujenzi ya CATIC kutoka nachini ...

SOKWE AZALIWA KWA UPASUAJI..!!

Mwana wa Sokwe anaendelea vyema, baada ya kuzaliwa kupitia upasuaji katika hali isiyo ya kawaid...

Monday, 22 February 2016

SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA YA GALAXY S7…

Kampuni ya kutengeneza simu ya Samsung imezindua simu yake mpya ya kisasa aina ya Galaxy S7...

RIPOTI: KINONDONI KINARA WA UHALIFU….!!

Ripoti ya awali ya Utoaji wa Huduma za Kipolisi (PDB) inayosimamia usalama wa raia ...

MAREKANI YAONGOZA KWA BIASHARA YA SILAHA…!

Usafirishaji wa silaha duniani umeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, huku Marekani ikiendel...

WANANDOA ELFU 3 WAUNGANISHWA KOREA KUSINI….!!!

Takriban wanandoa 3000 kutoka kote duniani wameshiriki katika harusi ya halaiki katika makao...

Friday, 19 February 2016

TAKWIMU ZA KUNYONGWA WATU SAUDIA ZINATISHA…!!

  Mauaji ya watu waliohukumia kifo kiholela nchini Saudi Arabia, yameongezeka katika mwaka huu wa 2016....

SIMBA WATOROKA MBUGA NA KUINGIA MTAANI..!!

Simba wasiojulikana idadi yao, wametoroka mbuga ya taifa ya wanyamapori ya Nairob...

Thursday, 18 February 2016

INDIA YATENGEZA SIMU YA BEI RAHISI DUNIANI…

Kampuni moja ya India inatarajiwa kuzindua kile kinachojulikana kuwa simu aina ya smartphone ya bei rahis...

Wednesday, 17 February 2016

VIWANGO VYA KUTISHA VYA SUKARI KWENYE VINYWAJI…!!

Kuna viwango vya sukari ya juu vinavyoshangaza, katika vinywaji vya moto vinavyouzwa katika migahawa kundi moja limeony...

AJABU YA MWANAMKE KUSHIKA MIMBA JELA VIETNAM..!!

Askari jela 4 nchini Vietnam wamesimamishwa kazi kwa kosa la kuzembea kazini, baada ...

MKENYA MIONGONI MWA WALIMU BORA DUNIANI..!!

Mwalimu mmoja kutoka Kenya ni miongoni mwa walimu wengine kumi waliofuzu fainali ...

WATAKA ASKARI WAUAJI WAFUNGWE MAISHA…!!

Mashirika ya kutetea haki za binaadamu nchini Kenya, yamelaani na kutangaza kutoridhishwa ...

PASPOTI ZA KIELEKTRONIKI KUZINDULIWA AFRIKA MASHARIKI…

Raia wa Nchi za Afrika Mashariki wataanza kutumia paspoti za kielektroniki ambazo zitatumika kurahisisha usafiri kwa wananchi wa eneo hil...

HIKI NDICHO ALICHOKIZUNGUMZA BABA YAKE JOHN WOKA........

John Woka ni miongoni mwa Wasanii wa longtime Tanzania ambapo umaarufu wa jina lake uliongezeka kutokana na ubunifu wake wa kurap kama Mlevi,alifariki dunia alfajiri ya february 16 katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam, baada ya kupata ajali ya kuchomwa na kitu kichwani alipokuwa akirekebisha mtungi wa AC ya gari katika garage moja jiji Dare es salaam. Bonyeza play hapo chini kumsikia kile ambacho baba yake mzazi Joh Woka...

Tuesday, 16 February 2016

RAS LION AMLILIA JOHN WOKA...

Msanii wa muziki wa kizazi kipya John Woka toka kundi la watukutu, amefariki dunia alfajiri ya february 16 katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaa...

VIRUSI VYA ZIKA VYAPATIKANA KATIKA UBONGO…!!

Ushahidi zaidi unaohusisha virusi vya Zika na kasoro ya maumbile miongoni mwa watoto...

HOSPITALI YATUMIA MAJI YA CHUPA CHUMBA CHA UPASUAJI..!!

Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala inalazimika kununua maji ya chup...

MBUNGE ZIMBABWE AVUNJA REKODI YA BUSU AFRIKA…!!

Mbunge mmoja nchini Zimbabwe Joseph Chinotimba, ameingia katika kumbukum...

Friday, 12 February 2016

INDIA YAZINDUA BUNDUKI NYEPESI DUNIANI….

Miaka miwili baada ya India kuzindua Nirb heek bunduki inayodaiwa kuwa ya kwanza ...

UTAFITI: WASIOFANYA ZOEZI HUZEEKA HARAKA..!!

Ukosefu wa mazoezi kwa wale walio na umri wa kadri, huzeesha akili na mwili utafiti umesem...

MTOTO ALIYEZALIWA MOYO UKIWA NJE AFARIKI…!!

Mtoto aliyezaliwa katika hospitali ya wilaya ya Meru mkoani Arusha akiwa na tatizo la moyo kuwa...

SERIKALI YAAPA KUPAMBANA NA WANAOUZA UNGA…!!

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Charles kitwanga, amesema atapambana wauza...

Thursday, 11 February 2016

AJALI YAUA 11 TANGA, YAJERUHI 29..!

Watu 11 wamefariki dunia leo huku wengine 29 wamejeruhiwa, baada ya Basi la Simba Mto...

MADUKA YAFUNGIWA KWA KUUZA KADI ZA KLINIKI…!!

Halmashauri ya Tunduma Mkoa wa Songwe, imeyafungia madu...

Wednesday, 10 February 2016

ROBOTI INAYOIGA TABIA ZA MENDE YATENGENEZWA.…!

Wanasayansi nchini Marekani wametengeneza roboti inayofanana na mend...

UTAFITI: FARASI HUBAINI HISIA ZA MWANADAMU..!

Farasi huweza kubaini kati ya mtu aliye na furaha na aliye kasirika, kwa kuangalia uso wa mwanadumu utafiti umesem...

Tuesday, 9 February 2016

MWINGEREZA AUZA HEWA SAFI UCHINA..!!

Maeneo mengi ya Uchina hasa miji mikubwa, yamekuwa yakitatizwa na uchafuzi wa hew...

Monday, 8 February 2016

MAREKANI INADAIWA ZAIDI YA TRILION 15..!!

Madeni yanayoizunguka serikali ya Marekani yanakaribia dola...

MWAKA MPYA WA NYANI WASHEREHEKEWA CHINA..!

Mamilioni ya watu wenye asili ya China duniani kote, wanasheherekea mwaka mpya wa ki Chin...

Saturday, 6 February 2016

TZ YAPAMBANA KUTOKOMEZA UKEKETAJI........

Tarehe Sita Februari ni siku ya kutokomeza aina zote za ukeketaji watoto wa kike na wanawake dunian...

TWITTER YAZIFUNGA AKAUNTI ZA IS

Mtandao wa kijamii wa Twitter, umesema kuwa umesimamisha akaun...

TETEMEKO BAYA LAKUMBA TAIWAN

Tetemeko kubwa la ardhi limekumba Taiwan Kusini, na kuangusha jengo moja la ghorofa 17 ambapo hadi kufikia sasa watu watatu wamethibitishwa kufarik...

Friday, 5 February 2016

MGODI WAPOROMOKA AFRIKA KUSINI…

Takriban wachimba mgodi 52 wamekwama ardhini, ndani ya mgodi wa dhahabu mashariki mwa Afrika Kusini kulingana na chombo cha habari cha News2...

Thursday, 4 February 2016

HABARI TANO ZA TEKNOLOJIA AMBAZO HAZIFAI KUKUPITA..!

Teknolojia hubadilika mara kwa mara na kila siku kuna mambo mapya yanayovumbuliwa na mitindo pia kubadilika,hapa nimekuwekea habari tano kuhusu teknolojia ambazo hazifai kukupita. 1.Li-fi ina kasi mara 100 zaidi ya Wi-fi Teknolojia mpya ya kutuma data ijulikanayo kama Li-fi imefanyiwa majaribi...

Wednesday, 3 February 2016

MAHAKAMA KUJADILI MAPENZI YA JINSIA MOJA INDIA..!

Mahakama ya India imekubali kusikiliza kesi ya kutaka kubatilisha sheria ya kikoloni, ambayo inaharamisha mapenzi ya jinsia moj...

Tuesday, 2 February 2016

SELFIE YAMSABABISHIA KIFO..!!

Kijana mmoja wa miaka 16 amegongwa na treni ya abiria na kufariki nchini India, wakati akijipiga selfie mbele ya tren...

TAI KUTEKA NDEGE ZISIZOKUWA NA RUBANI UHOLANZI..!!

Maafisa wa polisi nchini Uholanzi, wameanza kuwafunza tai kuteka ndege zisizokuwa na rubani zikiwa angan...

UGANDA YAZINDUA BASI LINALOTUMIA UMEME WA JUA..!

Basi linalotumia umeme wa nguvu za jua ambalo watengezaji wake toka Uganda wanadai kuwa la kwanza barani Afrika, limeendeshwa hadharan...