
Kiwa Strong''Kiwale11"
Show inakwenda hewani kila juma tatu mpaka ijuma kuanzia saa kumi kamili jioni mpaka saa kumi na mbili na nusu jioni.
Ina mchanganyiko wa habari,burudani,mahojiano na mazungumzo mbali mbali,unaweza kuisikiliza au kuishusha hapo chini kwa kubonyeza Play...